Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanzia Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametokwa na machozi hadharani wakati akihutubia taifa katika siku maalumu ya kutoa heshima za mwisho na kuaga kitaifa mwili wa aliyekuwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa. uwanja wa Uhuru Jijini Dar es slaam. 

0 Comments