Kavishe decoration investment ikiwa moja ya wadau muhimu wanaounga mkino juhududi mbalimbali za kuwainua vijana imeona na kusikia changamoto zilizokuwa zikiwakabili vijana katika kutuma maombi ya ajira za ualimu zilizotangazwa na serikali hivi karibuni.
Hivyo imeamua kuweka link ya moja kwa moja itakayomwezesha mwombaji kwenda kweye anwani au mfumo wa maombi moja kwa moja bila kuzunguka.
TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI SEPTEMBA 2020
Ofisi ya Rais - TAMISEMI inawatangazia walimu wenye sifa kutuma maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi cha http://ajira.tamisemi.go.tz.
Kuona tangazo, bofya hapa
Kuomba ajira, bofya hapa
0 Comments