Rais Dkt.John Pombe Magufuli ametangaza kubadilisha jina la Uwanja wa Taifa na kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Stadium kama sehemu moja wapo ya kumuenzi marehemu Mkapa. Rais amesema ameona maoni mengi ya watu kutaka uwanja huo uitwe jina la Mkapa hivyo na yeye ameridhia Hayo yamejiri wakati Mhe. Rais akihutubia taifa katika hafla ya kitaifa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa
#RIPMkapa
0 Comments