Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (mst) Thomas Mihayo leo amefungua mafunzo kwa Watendaji wa Uchaguzi Mkoani Geita na baadae akazungumza nao juu ya matarajio ya Tume katika utendaji wao ilikuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unafanyika kwa ueledi.
#uchaguzimkuu2020
#kadiyakokurayako
#nendakapigekura
#makaomakuudodoma
0 Comments