Jua kuhusu sisi
KWA HUDUMA BORA NA GHARAMA NAFUU KWA SHUGHULI ZA UPAMBAJI
KARIBU KAVISHE DECORATION INVESTMENT
TUNATOA HUDUMA MBALIMBALI ZA UPAMBAJI KATIKA MATUKIO MBALIMBALI KAMA VILE SEND OFF,
HARUSI,
GRADUATIONS, MISIBA,
KIPAIMARA,
UBARIKIO,
JUBILEE
VILE VILE TUNATOA HUDUMA KWA SHUGHULI ZA KISERIKALI NA TAASISI BINAFSI KAMA VILE:
MIKUTANO
WARSHA
SEMINA
MAKONGAMANO
MATAMASHA
MAADHIMISHO YA SIKU MBALIMBALI.
0 Comments