NJIA RAHISI YA KUJISAJILI NA KUTUMA MAOMBI YA AJIRA ZA WALIMU 2020

Kavishe decoration investment ikiwa moja ya wadau muhimu wanaounga mkino juhududi mbalimbali za kuwainua vijana imeona na kusikia changamoto zilizokuwa zikiwakabili vijana katika kutuma maombi ya ajira za ualimu zilizotangazwa na serikali hivi karibuni.

Hivyo imeamua kuweka link ya moja kwa moja itakayomwezesha mwombaji kwenda kweye anwani au mfumo wa maombi moja kwa moja bila kuzunguka.

TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI SEPTEMBA 2020

 Ofisi ya Rais - TAMISEMI inawatangazia walimu wenye sifa kutuma maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi cha http://ajira.tamisemi.go.tz.

Kuona tangazo, bofya hapa

Kuomba ajira, bofya hapa

Post a Comment

0 Comments