![]() |
JUHUDI ZAKO ZA KUPIGANIA TAIFA LETU ZINAONEKANA NA TUNAENDELEA KUZIFURAHIA
HAKIKA UMEVIPIGA VITA VILIVYO VIZURI MWENDO UMEUMALIZA NA IMANI UMEILINDA.
PUMZIKA KWA AMANI MZEE WETU MPENDWA WETU RAIS WA AWAMU YA TATU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA.
0 Comments